1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika Wiki hii

SAUMU YUSUF3 Mei 2024

Mafuriko yaendelea kusababisha adha kubwa,uharibifu na vifo huko nchini Kenya wakati pwani ya kanda ya Afrika Mashariki ikikabiliwa na Kimbunga Hidaya.Rais Felix Tschisekedi wa Kongo amtuhumu tena rais Paul Kagame kuwa kizingiti cha amani Mashariki mwa Kongo.Na Uchaguzi wa Togo wasifiwa ulifanyika kwa amani. Jiunge na Saumu Mwasimba katika Afrika Wiki hii.

https://p.dw.com/p/4fUSr